Nuclear Abolition News | IPS
Na Jamshed Baruah*
BERLIN (IPS) - Wabunge na wanaharakati nchini Japan wameonyesha matumaini makubwa kuhusiana na mjadala mkali na unaotegemewa wa U.S. Nuclear Posture Review (NPR) ambao serikali ya Barack Obama imeripotiwa kuwa katika hatua zake za mwisho kuukamilisha.














